COPY FROM HABARIKA BLOG Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi TZ
Mgombea
wa urais kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA Edward Lowassa amesema
kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na
tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC. Amesema kuwa ana ushahidi wa
kutosha kwamba kuna udanganyifu uliofanyika. Amesema kuwa kura za chama
hicho zimepunguzwa katika vituo vingi vya kupigia kura. Wanadai kwamba
kura zilizohesabiwa katika maeneo tofauti haziambatani na matokeo
yaliotolewa. [ 26 more words. ]
http://habarikwanza.com/…/lowassa-apinga-matokeo-ya-uchagu…/
http://habarikwanza.com/…/lowassa-apinga-matokeo-ya-uchagu…/
Mgombea
wa urais kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA Edward Lowassa amesema
kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na
tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC. Amesema kuwa…
habarikwanza.com
0 comments: