KACHUKUA JIMBO KWA TIKETI YA CCM........ WAPI HAPO. SOMA HAPA
Kazi ya kutangaza matokeo imeanza na tayari CCM imeibuka kidedea huko MTWARA katika jimbo la NANYAMBA na limechukuliwa na ABDALAAHA CHIKOTA kwa ngazi ya UBUNGE na TUME YA UCHAGUZI tayari imeshamtangaza kwani amepita bila kupingwa
CHANZO: AZAM TV
0 comments: