RAIS DKT MAGUFULI ALIPOTEMBELEA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA
Rais
Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.
Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini
Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa
moja.
Rais
John Pombe Joseph Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati
alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake
jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa
takribani saa moja
Rais
John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa
Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es
salaam Novemba 26, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Chanzo:thechoicetz.com
0 comments: