Rais Obama ajiunga na familia yake kwenye 'Thanksgiving' akiwapakulia chakula wasio na makazi
...................
Obama Rais wa Marekani pamoja na familia yake wamejitokeza kwenye siku ya 'Thanksgiving' kwakuwagawi chakula cha usiku baadhi ya raia wasio na makazi huko Washington katika Friendship Place Homeless Center.
0 comments: