...................
Wanyama aina ya Nyati wanane wakiwa
wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso kwenye mbuga ya Wanyama ya
Mikumi na kusababisha foleni ya magari.
Tukio hili limetokea alfajiri ya leo
tarehe 4 Desemba 2015.
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: