MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akishiriki kufagia na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la
Oysterbay Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama
alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo
limefanyika nchini kote hii leo Dec 9, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa
eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa
mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa
Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo
zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiwasili eneo la Kituo cha Daladala cha Morocco, kwa
ajili ya kuendelea kushiriki na wananchi wa eneo hilo kufanya usafi wa
mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa
Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo
zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiingia kukagua eneo la kuhifadhia Taka lililopo eneo la
Kituo cha Daladala cha Morocco, wakati alipofika eneo hilo kwa ajili ya
kuendelea kushiriki na wananchi kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza
Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini
kote hii leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wa eneo
Morocco, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote
hii leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiondoka eneo la Morocco, baada ya kushiriki zoezi hilo
na wananchi wa eneo hilo la kufanya usafi wa mazingira leo
chanzo: lindiyetu.com
0 comments: