HATIMAYE KIUNGO WA BARCELONA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA
AKIINGIA MAHAKAMANI
AKIWA KIZIMBANI KWENYE HUKUMU
AKIONDOKA ENEO LA MAHAKAMA BAADA YA HUKUMU KUTOLEWA
Mchezaji wa Timu Ya Taifa ya Argentina na kiungo wa barcelona Javier Mascherano amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi, tukio kama hili lilimkuta mwaka jana ambapo alilipa na riba kwa kosa kama hili.
Zaidi bofya link hii: http://www.dailymail.co.uk

0 comments: