MWENYE JINSIA MBILI ANENA ANAVYOJISIKIA
Mtu huyo anasema toka akiwa mdogo
amekuwa akiishi maisha kama mwanaume lakini mama yake alimwambia aishi
kama mwanamke kutokana na hali za kike ambazo zilikuwa zikimtokea lakini
yeye anasema hapendi kuishi kama mwanamke………
>>>’Nakumbuka
nilishawahi kununuliwa gauni, ile gauni sikuivaa, baada ya mama
kunilazimisha niliichana, kuishi mazingira ya mwanamke siwezi napenda
kuwa mwanaume, nilishabahatika kuwa na mwanamke lakini sijawahi
kufanikisha kufanya nae tendo la ndoa’chanzo:http://millardayo.com/hekaheka65/
0 comments: