UNAFAHAMU KINACHOENDELEA KATANI SOGEA, MJINI TUNDUMA.............?
Diwani wa kata ya sogea amedhamini ligi ya mpira wa miguu inayoitwa MWAVILENGA CUP. Ligi hiyo ni kwaajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yake na kutafuta vipaji kwaajili ya kuunda timu ya kata yake
Kwa kuwa tulichelewa kupata taarifa ,tumeshindwa kutoa taarifa ya mechi siku ya ufunguzi, lakini tunaahidi kuwa nanyi kadiri ligi itakavyoendelea
Kutoka kushota Mtafuta vipaji kwaajili ya timu ya sogea, Mh Diwani, mwanahabari wetu, Mh Meya, kiongozi wa ligi na refaree wa mechi ya tr 25/1/2016
mwanahabari wetu wa kata ya sogea
.
0 comments: