Zidane: CR7 haondoki Real Madrid
Kocha mpya wa miamba wa Uhispania Real Madrid Mfaransa Zinedine Zidane
ameonya kuwa mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo maarufu kama CR7
hataondoka klabu hiyo chini ya uongozi wake
Zidane amesema CR7 ndio roho ya Real Madrid na atafanya kila kitu
kumsaidia ajiskie mwenye furaha. Kulikuwa na fununu kuwa Mreno huyo
atakayefikisha umri wa miaka 31 mwezi ujao alishindwa kuelewana na kocha
aliyeondoka Rafa Benitez
0 comments: