Serikali ya Uganda inawashutumu baadhi ya maafisa wa Umoja wa Ulaya kwa
kile inachosema wanaingilia mambo ya ndani, huku ikimtia nguvuni
Jenerali David Sejusa kwa tuhuma za kujihusisha na siasa akiwa
mwanajeshi.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda
Zaidi bofya link hapo chini http://www.dw.com
0 comments: