Merkel yuko Uturuki kujadili wakimbizi
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani yuko Uturuki ambapo anakutana na
Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ahmet Davutoglu na baadae Rais Tayyip Recep
Erdogan kwa mazungumzo juu ya kupunguza wimbi la wakimbizi wanaokimbilia
Ulaya.
Zaidibofya hapa
http://www.dw.com

0 comments: