NI KWELI UJERUMANI INAKABILIWA NA UMASKINI WA CHAKULA ....?
Ujerumani yakabiliwa na umasikini wa chakula
Kuna idadi isiyo ndogo ya watu ambao wanashindwa kula vizuri kwa sababu
ya umasikini wao, wakiwemo wastaafu, wazee, wakimbizi, wasiokuwa na
ajira za kudumu na wasio na kazi kwa muda mrefu.
Zaidi bofya hapo chini
http://www.dw.com

0 comments: