Wanaotuhumiwa kumvua nguo Mtanzania mbaroni India
Wanaume watano wanaotuhumiwa
kuhusika katika kumshambulia na kumvua nguo mwanafunzi wa kike mwenye
umri wa miaka 21 kutoka Tanzania wamekamatwa, shirika la habari la AP
limeripoti.
Ubalozi wa Tanzania nchini humo umeitaka India
kuhakikisha usalama wa wanafunzi wote kutoka Afrika wanaosomea nchini
India, vyombo vya habari vinasema.
0 comments: