ZUMA NJE MIEZI SITA
Mchezaji wa timu ya chelsea (ZUMA) hatacheza mechi kwa muda wa miezi sita kutokana na kuumia mguu katika mechi waliyotoka sare na timu ya Man utd . Mchezaji huyo mwenye miaka 21 pia atafanyiwa upasuaji kwa tatizo hilo. zaidi bofay link hapo chini
http://www.bbc.com
0 comments: