Korea Kaskazini yajibu vikwazo vya UN
Korea Kaskazini imerusha makombora ya masafa mafupi
Korea Kaskazini
imerusha makombora ya masafa mafupi, baharini kujibu vikwazo vipya
ilivyowekewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Korea Kaskzini ilifanya majaribio ya nyukilia hapo mwakani. Chini ya vikwazo vipya mizigo yote inayoingia Korea Kaskazini kutoka nje itaanza kukaguliwa, huku watu kadhaa na mashirika yakiwekewa vikwazo.
chanzo:bbcswahili

0 comments: