MCHEZAJI LIGI KUU ENGLAND KAFUNGWA JELA MIAKA 6. FAHAMU KOSA LAKE
Mchezaji soka Adam Johnson amefungwa jela miaka sita kwa kushiriki mapenzi na msichana wa miaka 15.
Jaji
Jonathan Rose amesema mchezaji huyo alitumia vibaya nafasi yake na
kumsababishia mwathiriwa wake “madhara makubwa ya kisaikolojia”.
Jaji
amemwambia Johnson, 28, kwamba alishiriki ngono na msichana huyo
akifahamu vyema kwamba alikuwa na umri wa chini ya miaka 16.
Imebainika pia kwamba polisi walipata kanda chafu za video zinazohusisha wanyama kwenye kompyuta mpakato ya Johnson.
Hata hivyo, hatachukuliwa hatua kutokana na hil
Mahakama ya Bradford iliambiwa kwamba mchezaji huyo
alishiriki mapenzi na msichana huyo katika gari lake aina ya Range Rover
Januari 2015.
Johnson alichezea timu ya taifa ya England mara 12. Alikuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland
chanzo:bbcswahili
0 comments: