BALOTELLI AWAPASHA WAANDISHI WAHABARI. SOMA ALICHOFANYA
Usiku wa August 31 kuamkia
September 1 ndio siku ambayo dirisha la usajili la majira ya joto barani
Ulaya lilifungwa rasmi, kuna mengi yametokea ikiwemo kushuhudia
mshambuliaji wa kimataifa wa Italia aliyekuwa anaichezea klabu ya Liverpool Mario Balotelli akitolewa bure.
Balotelli alitolewa bure kwenda katika klabu ya Nice ya Ufaransa iliyopo nafasi ya katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa, baada ya kuwasili Nice ya Ufaransa waandishi wa habari kama kawaida walimuuliza maswali Mario Balotelli katika press conference, majibu ya Balotelli hayajatofautiana sana na utukutu wakemillard ayo
0 comments: