KUTOKA AyoTV: Mwanafunzi aliyepigwa na Mwalimu Mbeya Day asimulia
...................
October 6 2016 ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii video iliyokua ikionyesha Mwanafunzi wa Mbeya Day Secondary
akipigwa kwa mateke na makofi na Walimu ambao walikua kwenye shule hiyo
kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo……. mtazame kwenye hii video hapa chini
ameongea na AyoTV na kusimulia
0 comments: