MAN CITY KIMENUKAAAAAAAA..........!

...................



.
Hali si shwari ndani ya klab ya Man City baada ya kuonekana sintofahamu ya wachezaji. Hali hii imesababishwa na kocha wa klab hiyo baada ya kuwaonyesha mlango wa kutokea baadhi ya wachezaji ambao walikuwa mhimili wa timu. pia inaonekana kuna visa binafsi kati ya kocha na wacheji vinavyopelekea kuongeza ugomvi, mfano kwa makusudi kocha wa klab hiyo kamzuia Yaya Toure kuhama ili amkomoe kwa kigezo cha kuombwa msamaha kwanza

Kocha kaseema" kwa mchezaji asiyeendana na timu hatacheza ama atafute klab nyingine"


zaidi kwa habari hii bofya link hapo chini


http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: