UNAFAHAMU NENO MUNGU NI KIKWAZO NCHINI KENYA..? SOMA HAPA
Walahidi Kenya wadai kuondolewa kwa neno 'Mungu' kwa wimbo wa taifa
Jamii hiyo isiyoamini kuwepo kwa Mungu ilidai kuwa kuwepo kwa neno 'Mungu' katika ubeti wa kwanza haileti picha ya umoja wa taifa kwani si wakenya wote wanaoamini kuwepo kwa Mwenyezi Mungu.
Aidha pia walisema kuwa kuwepo kwa neno 'Mungu' katika wimbo wa Taifa ni kinyume na katiba kwani Kenya ni taifa la kidunia .
Walahidi nchini humo wamedai kuwa wanahisi kusahaulika wakati wowote wimbo wa taifa unapoimbwa
chanzo: http://www.trt.net.tr

0 comments: