JE WAJUA HILI...?Chocolate' chungu ni muhimu kwa afya ya moyo

...................



'Chocolate' chungu ni muhimu kwa afya ya moyo

Utafiti uliofanyika katika chuo kikuu cha Brown  nchini Marekani kitengo cha afya ya 'Global cardiometabolic Health Center' wadhihirisha kuwa watu wanaokula angalau  kipande kimoja cha 'Chocolate' chungu huepuka maradhi ya moyo,magonjwa ya sukari na kuwa na usawa katika kiwango chao cha homoni ya 'Insulin'.
Matumizi ya kati ya miligramu 200 na 600 ya 'Chocolate ' chungu isiyo na maziwa hupunguza hatari ya kuwa na ongezeko la Kolestroli .
Utafiti huo ulifanywa na mkuu wa kituo hicho cha afya Dr. Simin Liu  na mwanafunzi wake Lin Xiaochun ambapo wanafunzi 139,000 walifanyiwa uchunguzi wa maradhi ya moyo.

chanzo: http://www.trt.net.tr
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: