KILICHOTOKEA KWENYE FIESTA DAR ES SALAAM
Hii kutoka millardayo.com
Usiku wa November 5, 2016 ni zamu
ya Dar es Salaam ambapo mashabaki wa muziki wamekutana katika viwanja
vya Leaders Club kushuhuhudia tamasha la FIESTA 2016 huku burudani
zikiendelea kutoka kwenye list ndefu ya wasanii mbalimbali akiwemo,Barnaba, Raymond, Shilole, Jux, Vanessa Mdee, Christian Bella na wengineo
Shangwe hizo za Burudani zinaendelea
muda huu huko katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, zitazame
hizi baadhi ya picha mtu wangu
.Gigi Money akitoa burudani ya nguvu
.
.Dogo Janja na Raymond wa WCB wakiwa Backstage
.Baraka The Prince akiwa Backstage
.Weusi wakiwa Backstage
.Wasanii mbalimbali wakiwa backstage muda huu
.
.Barnaba akiwa kwenye stage
.Vanessa Mdee akiwa kwenye Stage akitoa burudani ya nguvu
.Jux akitoa burudani ya nguvu
.
.
.Nandy akitoa burudani ya nguvu
.
.TID akitoa burudani ya nguvu
.Billnas
.Christian Bella kwenye stage
.Raymond wa WCB akiwa kwenye stage kuhakikisha mashabiki wanapata burudani ya nguvu
.Stamina

0 comments: