MOURINHO NA MAISHA YA MAN UTD

...................


Ikumbukwe kuwa Jose tangu aanze kibarua man utd ndo kwanza anakaribia nusu msimu, lakini katika huo nusu msimu maisha yake ndani ya man utd yamekuwa ya kimtindo.

Ofisi yake Ndani ya Carrington
Mou anatumia ofisi ileile iliyotumiwa na mzee Fargie, jambo tofauti hapa ni njia za kuendea na kutoka Ofisini. Babu alikuwa anatumia njia ya canteen akipitia koldo mbalimbali huku akitaniana na wachezaji wafanyakazi na wahudumu mbalimbali wa klabu ya Man Utd. Vilevile Babu alipenda kuongea ama kujifunza lugha za kiispaniola kwa kutumia utani, kwa kutumia njia hiyo Fagie aliweza kupata tetesi ama umbea ambao ulimsaidia kujenga hali nzuri ndai ya klabu

lakini mambo tofauti kwa Mou hupita nyuma ya majengo na kuingia ofisini ama kuondoka ofisini. Kimsingi hayupo karibu na wachezaji wake ambao wanampa jeuri ya kula mjini

Kimsingi Mou anajiharibia mwenyewe na ataona klabu chungu kwa hali anayoitengeneza katika klabu, Ikumbukwe hali kama hii ndio iliyomwondoa chelsea misimu ya 200..., pia katika klabu ya Real Madrid na hata man atang'oka tu.

chanzo ama habari zaidi bofya hapo chini

Jose-Mourinho-succeed-fail-Manchester-United-terms
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: