MTU MUHIMU ALIYESAHAULIKA MAN UTD
Timu ya man utd inafanya vibaya, tatizo nini, tuseme haina wachezaji wa kuiwezesha kupata mafanikio? au kocha kashindwa kuiongoza timu? au kocha kashindwa kupanga timu? Yote yanawezekana na mengine mengi. Lakini kwa mtazamo wangu naona kocha kashindwa kuwatumia wachezaji katika nafasi sahihi. Lakini kubwa zaidi ni kwamba mtu mmoja muhimu alisahaulika kabisa ndani ya kikosi. Mtu huyo ni Michael Carrick, Mtu huyu amekuwa muhimu toka enzi za babu kafanya makubwa na kuwa na rekodi nyingi zisizofikiwa na mtu, Lakini ukweli umejionyesha katika mechi mbili alizocheza msimu huu nini kakifanya.
Ukitazama mechi ya jana Carrick kaonyesha hakuna sababu ya yeye kutocheza, kamiliki mpira na kuchezesha wenzake hadi galasa Rooney kang'aaa hata Pogba kaonekana
hapo chini panaonesha jinsi Carrick alivyomiliki mpira
Kutokana na mchango wake Pogba naye kaweza kumiliki na kutoa pasi kama inayojionyesha hapo chin
Habari zaidi
http://www.dailymail.co.uk

0 comments: