Panya buku kutumika kupima kifua kikuu Tanzania
Tanzania imezindua maabara kubwa ya aina yake mjini
Dar-Es-Salaam inayopima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya
buku.
Kwa mujibu wa wataalamu wa maabara hiyo, panya mmoja ana
uwezo wa kupima sampuli 100 na kutoa majibu ndani ya dakika 20
ikilinganishwa na njia nyingine ambapo majibu ya sampuli hutolewa kwa
wastani wiki mbili. Je inawezekanaje? Hebu msikilize Regina Mziwanda.
zaidi waweza soma kupiti link hizi
http://jumamtanda.blogspot.com/2016/11/panya-buku-hutumia-dakika-20-tu-kupima.html
0 comments: