VIDEO: TAZAMA MSAFARA WA RC MAKONDA ULIVYOZUIWA
Wakazi Mloganzila walivyosimama barabarani kuzuia msafara wa RC Makonda

Mkuu wa
wilaya ya Ubungo, Humphrey Polepole aliwaambia wananchi hao kuwa suala
lao linashughulikiwa na wengi wao ameshaonana nao akawambia wakalete
taarifa za ziada ili awatafutie msaada wa kisheria ila hawakurudi hivyo
DC polepole akawaomba wafuate utaratibu.
Aidha Mkuu
wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alisimama na kuwaambia ni
marufuku kwa yeyote kuzuia msafara kwa kuwa hakuna kero itakayotatuliwa
kwa kuzuia msafara hivyo wafuate walichoambiwa na Mkuu wa wilaya. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.
chanzo:AyoTv

0 comments: