DARASA KAWA MSANII WA PILI KUVUNJA RECORD YA HIPHOP TANZANIA, IFAHAMU RECORD HIYO.
Darassa amevunja rekodi ya kuwa msanii wa pili wa Hip-Hop Tanzania ambaye video yake ya ‘Muziki ‘aliyomshirikisha Ben Pol imetazamwa na zaidi ya watu milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa YouTube huku rekodi hiyo ikishikiliwa na A.Y kupitia video yake ya Zigo remix aliyomshirikisha Diamond Platnumz iliyofikisha zaidi ya watazamaji milioni moja ndani ya wiki moja.
CHANZO:http://millardayo.com/daras1512/
0 comments: