RONALDINHO KURUDI UWANJANI TENA

...................


 

.

 

Mchezaji nyota wa dunia wa zamani Ronaldinho na mchezaji mwenzake Riquelme wapo katika mpango wa kurudi uwanjani kwa awamu nyingine na kuondoa kauli zao za kustaafu. Safari ya kurudi uwanjani imekuja baada ya ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil. Mpango huo ni kwaajili ya kuisaidia timu hiyo. Lakini taarifa toka kwa wakala wa dinho ambaye ni kaka yake inasema mpango huo bado haujakamilika

 

Source: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3990806/Ronaldinho-Juan-Roman-Riquelme-come-retirement-play-tragic-Brazilian-club-Chapecoense.html

 

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: