TAZAMA VIDEO YA BOMOABOMOA TUNDUMA KWA WALIOKAIDI KUBOMOA KWA HIARI
Na Bk Ndabila The Don
Baada ya Serikali kutangaza wale wote waliovamia eneo la barabara hapa nchini wabomoe majengo yao kupisha upanuzi wa barabara, wapo waliotekeleza kwa wakati na wengine kwa kuchelewa, Lakiin wapo ambao hawakubomoa kabisa. Lakini kwakuwa hatuwezi kukaidi amri ya seikali basi leo Pamefanyika bomoa bomoa ya nguvu kwa wote ambao hawakubomoa.
Tingatinga likielekea moja ya nyumba kwaajili ya kuibomoa
.
mashuda wakishuhudia tukio
Wanausalama wakilinda kuhakikisha usalama
0 comments: