HARUFU YA VITA KATI YA MAREKANI NA KOREA HII HAPA
Kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya kurushiana Maneno kati ya marekani na N. Korea, hali hiyo imeleta sintofahamu baada ya vitendo vinavyoendelea. N. Korea imefanya tamasha la kijeshi LA zana za ulinzi kama tishio LA vita vya kinyuklia na kwa upande wa pili marekani NATO inajiandaa kivyake. Kwa hali hiyo kuna hatari ya kutokea vita kati ya marekani na korea ya Kim
Taifa LA China limeingilia kati kutaka usuluhishi kati ya wababe hao, bado sintofahamu IPO
Taarifa za kina bofya link hii us-war-with-n-korea-may-break-out-any-moment
0 comments: