TIMU ZA LYON NA BESIKTAS KUADHIBIWA BAADA YA MASHABIKI WAKE KULETA FUJO
Matukio ya mashabiki kuleta vurugu viwanjani yanazidi kuongezaka. Tukio la mashabiki WA timu ya Lyon na Besiktas lilisababisha mechi kuchelewa kuanza kwa dakika 45, Baada ya uchunguzi wa tukio hilo shirikisho la mpira ulaya limeamua kuziadhibu timu hizo kwa kuwa mashabiki wake wameleta vurugu.
Lakini bado haija pangwa tarehe ya kushughulikia tukio hilo la kinidhamu
Lakini bado haija pangwa tarehe ya kushughulikia tukio hilo la kinidhamu
0 comments: