MASHABIKI WA UINGEREZA SAFARI HII WAKIONA CHA MOTO HISPANIA
Mashabiki WA timu ya Leicester ya england walijikuta wakiwa katika wakati mgumu baada ya kukabiliana na Polisi katika vurugu. Baada ya tukio hilo mashabiki name walikamatwa na wamehukumiwa kifungo cha miezi minne kila mmoja, lakini kunaongezeko la adhabu ya miezi minne kwa mashabiki sits kati ya hao name.
0 comments: