LUKAKU ACHANIWA JEZI, CHELSEA YAUA KIPIGO CHA ARSENAL

...................








Timu ya man utd imepata ushindi wake wa kwanza katika mechi ya kwanza kujiandaa na msimu. ushindi huo ni wa 5-2
kikubwa zaidi ni uwezo wa Rashford pale dimbani. lakinitukio funga mechi ni kuchanika kwa jezi ya LUKAKU katika kipute hicho

wakati huohuo chelsea kwa upande wa pili wametoa kipigo cha mbwa mwizi kwa fulham. kupata habari ya chelsea bofya link hapo chini
Chelsea-8-2-Fulham
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: