WAKAZI WA SOGEA HILI LINAWAHUSU...........!

...................
Katika pitapita zangu nimeshuhudia jambo la msingi sana ikiwa Leo ni SIKU ya maadhimisho chanjo duniani. Nikiwa mtaa WA SOGEA wakazi WA eneo hilo wamesogezewa Huduma ya afya kwa upande WA chanjo. Kwa muda mrefu wakazi WA eneo hili walilazimika kupata Huduma ya chanjo mbalimbali kama pepo punda, polio, surua, donda koo, homa ya ini na kifaduro kutoka vituo vya Roma, Moraviani ama kituo cha afya Tunduma. 
Basi katika eneo hili la sogea katika Zahanati binafsi ya FARAJA leo hii imezinduliwa huduma mbalimbali kama x-ray, uzazi, utra sound na huduma nyinginezo zinazopatikana mahospitalini. shughuli hii iliambatana na burudani ya muziki.

hapa chini ni baadhi ya video za burudani hizo


http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: