JINSI YA KUBORESHA KIPATO KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI

...................

Kila vinafu Ana ndoto ya kufanikiwa kimaisha, lakini si wote wanafanikiwa. Hivyo BASI wakati unatafuta njia ya kufanikiwa unaweza kujaribu kilimo CHA mbogamboga.KATIKA KILIMOhoki CHA mbogamboga unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo.

1. Aina ya mboga unayotaka Kilima 
2.Muda wa kuchuma mboga unayopanda
3. Ustahimilivu wa mboga unayopanda kwa magonjwa.
4. Uhitajikaji wa mboga Katika jamini kulingana na Msimu husika
Mfano waweza Lima mboga aina ya sukuma Wiki Kama hivyo inayoonekana kwenye picha. Mboga hii unauwezo wa kuchuma MUDA mrefu sana endapo itapewa huduma ya mbolea(samadi) na ikamwagiliwa vizuri. Jambo la Msingi ni kuhakikisha huduma ya maji ya kutosha inapatikana. .        





 

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: