TUNDUMA........ UNAKUMBUKA HIIIIII..!?
Kwa wale wageni wa mji wa tunduma nikimaanisha waliofika miaka ya hivi karibuni na wakabahatika kupita maeneo ya machinjioni kuelekea mpande, tambueni kuwa hali ama manzari ya zamani ya mazingira hayo yalikuwa kama unavyoona kwenye picha hapo chini.
Maji yalikuwa ya kutosha katika mto unaouona hapo machinjioni , kuanzia migombani bondeni, kwa toronto na kuendelea kuelekea mto ulikoelekea
Je hali ya sasa unaionaje ukilinganisha na zamani...?
toa maoni

0 comments: