Matokeo ya kidato cha NNE waliohitimu mwaka 2017 yametangazwa, ndo wakati was kujua ulipanda mini na umevuna nini.
Kutazama matokeo hayo bofya link chini ya jina LA shule unayotaka
Taarifa kwenye vyombo vya habari nchini Marekani zinadai kwamba wakili wa rais Trump alimlipa mwigizaji wa filamu za ngono zaidi ya dola laki moja, kama njia ya kumshawishi asiseme lolote kuhusu mikutano anayodaiwa kushiriki na rais Trump.
Malipo hayo yalitolewa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa urais, katika wakati muhimu kwenye kampeni ya rais Trump, wakati akipuuza madai kwamba aliwadhalilisha wanawake.
Gazeti la The Wall Street Journal linasema kwamba wakili huyo, kwa jina, Michael Cohen, alilipa pesa hizo baada ya Stormy Daniels, kutishia kufichua siri zake hadharani.
Gazeti la New York Times zinasema bwana Cohen alikanusha madai ya kukutana na Bi Stormy, japo hakutaja malipo yoyote.
Baada ya MATOKEo ya kidato cha PILI kutamgazwa, mwananchi wa Tunduma fahamu sasa kijana wako amefaulu vipi. Utapata MATOKEO hayo kwa kubofya link chini ya jina LA shule husika.
Timu ya man utd imepata ushindi wake wa kwanza katika mechi ya kwanza kujiandaa na msimu. ushindi huo ni wa 5-2
kikubwa zaidi ni uwezo wa Rashford pale dimbani. lakinitukio funga mechi ni kuchanika kwa jezi ya LUKAKU katika kipute hicho
wakati huohuo chelsea kwa upande wa pili wametoa kipigo cha mbwa mwizi kwa fulham. kupata habari ya chelsea bofya link hapo chini Chelsea-8-2-Fulham
Katika pitapita zangu nimeshuhudia jambo la msingi sana ikiwa Leo ni SIKU ya maadhimisho chanjo duniani. Nikiwa mtaa WA SOGEA wakazi WA eneo hilo wamesogezewa Huduma ya afya kwa upande WA chanjo. Kwa muda mrefu wakazi WA eneo hili walilazimika kupata Huduma ya chanjo mbalimbali kama pepo punda, polio, surua, donda koo, homa ya ini na kifaduro kutoka vituo vya Roma, Moraviani ama kituo cha afya Tunduma.
Basi katika eneo hili la sogea katika Zahanati binafsi ya FARAJA leo hii imezinduliwa huduma mbalimbali kama x-ray, uzazi, utra sound na huduma nyinginezo zinazopatikana mahospitalini. shughuli hii iliambatana na burudani ya muziki.