BREAKIG NEWS........................!AJALI IMETOKEA JIONI HII MAENEO YA MLYUKA ILALA(MKOANI IRINGA)

...................
Ajari imetokea jioni hii saa 7.15 maeneo ya mlyuka ilala manispaa ya Iringa ikihusisha gari aina ya hiace namba hazikuweza kutambulika mara moja linalofanya safari zake Miyomboni kwenda Mkwawa limegongana uso kwa uso na pikipiki  maarufu kwa jina la boda boda.Chanzo cha ajari hiyo ni hiace hiyo inavyoonekana katika picha ilikua mwendokasi inatokea mkwawa kwenda miyomboni ikawa inaovertake gari ya mbele nayo ni hiace ndipo ikaenda kugongana uso kwa uso na piki piki maarufu boda boda.Dereva wa piki piki ameumia kiasi amekimbizwa hospital ya mkoa wa Iringa kwa matibabu.Polisi wa usalama barabarani walifanikiwa kufika eneo la tukio na kuondoka na dereva wa hiace aliyesababisha ajari hiyo.







                                                        PICHA NA PROSPER NGAIRO         http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: