Mtoto aliyezaliwa jela, arejea na kumtoa mama yake gerezani

...................


Kanhaiya Kumari (kushoto) akiwa na mama yake, Vijaya mara baada ya mama huyo kuachiwa huyu
Kanhaiya Kumari (kushoto) akiwa na mama yake, Vijaya mara baada ya mama huyo kuachiwa huyu

Mtoto mdogo wa kiume wa mwanamke ambaye amedhoofika kwenye jela kwa takribani miaka 20 nchini India kwa upungufu wa Pauni za Uingereza 119 katika pesa za dhamana hatimaye amehakikisha kuachiliwa huru kwa mama yake.

Kanhaiya Kumari, mwenye umri wa miaka 19, alizaliwa ndani ya gereza na Vijaya, mwenye miaka 48, ambaye alikamatwa mwaka 1993 kwa kuhusiana na kesi inayohusisha mauaji ya mmoja wa majirani zake katika wilaya ya Aligarh nchini India.
Alipatiwa dhamana mwaka 1994 lakini – ilitupwa na..Read More








CHANZO:BlogSy Tanzania
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: