USHAHID WA KAULI YA LADY JAY DEE KUWA JUMATATAU ATATINGA MAHAKAMANI ASISITIZA WASANII WALIOKULA ADVANCE NA KUKIRI MBELE YA CAMERA STORY KAMILI IKO HAPA.
Jide amewapa fans wake taarifa jana jioni kupitia facebook na twitter kuhusu kufikishwa kwake mahakamani na kwamba ataendelea kuwajuza kinachoendelea.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Jide ameandika satatus hii:
“Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....
Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.”
Lakini pia kupitia mtandao wa twitter, Jide a.k.a Anaconda ameandika:
Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya... fb.me/1Gg4YDGU0
— Lady JayDee (@JideJaydee) May 10, 2013
Kupitia facebook fun page yake aliandika hivi
Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.

0 comments: