Breaking News:WATU 4 WAPOTEZA MAISHA PAPO HAPO NA WENGINE WENGI KUJERUHIWA BAADA YA BASI LA MINZIRO KWETU LILOKUWA LINATOKA BUKOBA KWENDA GEITA KUPATA AJALI
Breaking News: Watu 4 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la Minziro Kwetu lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Geitakupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba
Na shaddy classic
0 comments: