CHADEMA Yaibana CCM Matokeo ya UDIWANI

...................

Chadema Yaibana CCM Matokeo ya Udiwani
Matokeo ya Uchaguzi wa UDIWANI katika kata mbalimbali nchini. kutokana na matokeo hayo inaonekana CHADEMA imeinyang’anya CCM viti kadhaa vya Udiwani na kutuma ujumbe kwamba mambo ni mazuri kwa Chadema. Baadhi ya Kata ambazo matokeo yake yameshajulikana ni kama hivi: Lakini pamoja Chadema vs CCM.na hayo





















CCM imechukua viti vingi katika matokeo ya awali.
1. Makuyuni, Monduli (ARUSHA) – CCM

2. Minepa, Ulanga (MOROGORO) – CCM

3. Bashnet, Babati (MANYARA)- CHADEMA

4. Nyampulikano, Sengerema (MWANZA) – CHADEMA

5. Masanze, Kilosa (MOROGORO) – CCM

6. Ifakara, Ifakara (MOROGORO) – CHADEMA

7. Tingeni, Muheza (TANGA) – CCM

8. Genge, Muheza (TANGA) – CCM

9. Iyela, Mbeya (MBEYA) – CHADEMA.
10. Lugata- CHADEMA
11. Dalai- CCM
12. Dongobeshi- CHADEMA
13. Iseke-- CHADEMA

Indelea kufuatlia habarimasai.com kwa taarifa zaidi za matokeo ya udiwani TANZANIA.

chanzo:habarimasai

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: