WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO WACHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA MUHAAJIRINA TABORA,MWAKASAKA ATOA ZAIDI YA SHILINGI MIL.MOJA

...................

Mwanasheria wa kujitegemea na kada wa Chama cha Mapinduzi mkoani Tabora Bw.Emmanuel Mwakasaka akizungumza wakati wa sherehe za Maulidi zilizofanyika Madrasat Muhaajirina ambapo Mdau huyo alichangia zaidi ya shilingi Milioni moja katika harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Muhaajirina uliopo kata ya Malolo manispaa ya Tabora.
Jengo la Msikiti wa Muhaajirina
Sheikh wa wilaya ya Tabora Sheikh Ramadhani Rashidi akimpongeza  Bw.Emmanuel Mwakasaka baada ya kupokea mchango wake wa shilingi mil.moja
Baadhi ya kinamama wa Kiislamu wakiwa katika sherehe hizo za Mauli
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: