MAAJABU YA MUNGU , ANGALIA PICHA HIZI

...................

Ni ngumu kuamini ila inatakiwa kuamini angalia hapa picha hizi ndipo utajua mungu anamakusudi yake


Hakika pengine ukiangalia picha hizi unaweza dhani kuwa ni picha za kutengeza lakini ni hali ya kweli hawa wameungana lakini wanafanya kazi nyingine kama kawaida ikiwa pamoja na kufanya shughuli za kimuziki wana uwezo wa kupiga kinanda tunafanya jitihada ya kutafta video lakini kwa sasa angalia picha zaidi kumbuka licha ya kuwa na ulemavu huo lakini vijana hawa wanapiga kazi kama nini
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: