KWA MZAZI UNAYESOMESHA LEO SOMA HAPA
DODOMA UNIVERCITY WAJA KWA KASI KATIKA BIASHARA YA UCHANGUDOA
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti,stashahada,shahada za kwanza,uzamili na shahada za uzamivu.
Ikumbukwe
kwamba chuo cha dar es salaam ndio was seemed to have a number of
collegies wanaouza miili yao. Haya ni mapinduzi kwa chuo hiki
kinachokuja kwa kasi hasa kikiwa ni chuo cha kwanza kwa ukubwa na idadi
ya nomber ya facult africa mashariki, kuna vyuo kama IFM na CBE ambavyo
toka mda vimekuwa na sifa mbaya hii ya wanawake kujiuza. Katka mji
mdogo kama Dodoma mji mkuu wa tanzania ni skitiko la watanzania wengi
hasa tunapojaribu kujiuliza wanachuo hawa wanajiuza je ni nani
anaewanunua la asha ili ni swali kila mtu anapaswa kujiuliza mimi
nshajiuliza wewe je!
CREDIT TO BONGONEWS
0 comments: