PATA NAFASI YA KUSOMA TWITTS ZA ZITTO SPECIAL KWA MWAKA MPYA
Mwaka
wa Katiba Mpya yenye Muundo Mpya wa Jamhuri yetu. Tumeshindwa kwenda
Brazil Kombe la Dunia, hivyo tutashangilia Waafrika wengine. Kwenye
siasa kumekuwa na sarakasi nyingi ambazo zimepinduka mwaka. Dhana ya
Uwajibikaji inaanza kushika mizizi ingawa kidogo kidogo. Kama ilivyokuwa
mwaka 2012, mwaka uliokwisha tumeona tena Mawaziri wakiwajibika
kisiasa. Hata hivyo ni vema kutazama sasa uwezekano wa mawaziri kuwa na
mamlaka ya kuwajibisha watendaji wa chini yao, kwa njia za haki bila
uonevu. Mwaka 2014 uzae siasa Mpya zenye kuleteleza majawabu ya
kuboresha maisha ya wananchi. Katiba Mpya, siasa Mpya.
Tujipange upya kwenye michezo na kwa soka tuangalie Africa Cup of Nations 2015 na Kombe la Dunia 2022. Tuanze sasa!
Zitto Kabwe · 32,870 followers
23 minutes ago via mobile ·
The New Constitution, new politics and The Change We want
The Change founded on values of dignity, patriotism, ethics,
socialism/self reliance and accountability. The Change that leads to
transformation of our society into better lives through sustainable
social security system and efficient use of our natural resources for
current and future generations.
It is beyond movement for change, rather a movement for democratic change.
Chanzo:twitts za zitto

Chanzo:twitts za zittoThe Change founded on values of dignity, patriotism, ethics, socialism/self reliance and accountability. The Change that leads to transformation of our society into better lives through sustainable social security system and efficient use of our natural resources for current and future generations.
It is beyond movement for change, rather a movement for democratic change.

0 comments: