MAONI YANGU JUU YA FAINALI YA EUFA
MADRID HAWAJACHEZA KATIKA KIWANGO KIZURI SABABU WALIATHIRIWA
NA MAMBO MAWILI
1.
UWEPO WA WACHEZAJI RONALDO NA BALE
Wachezaji hawa wote ni ghali na kila mmoja
angependa aonyeshe kiwango na dunia imtambue hivyo bale alikuwa mchoyo wa pasi.
Pia wachezaji hawa wanataka kuonyesha viwango kombe la dunia na hiyo imewafanya
kucheza kwa tahadhari.
2.
KABLA YA MECHI VYOMBO VYA HABARI VIMECHEZA MECHI
Vyombo vingi vya habari vimemkuza sana bale
kabla ya mechi. Jambo hili limewaharibu ronaldo na bale kisaikolojia
RAMOS KAIRUDISHA MCHEZONI MADRID
HONGERENI KWA USHINDI

0 comments: