YALIYOJIRI BUNGENI......!

...................

Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo...
Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo

Chanzo:jamvi la habari
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: