BREAKING NEWZ MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
...................
Muigizaji
mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki
dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar.
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda
mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu
aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN
chanzo:blog ya wananchi
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: